Lansinoh disposable breast pads (60pcs)

Lansinoh disposable breast pads (60pcs)

TSh 40,000.00

Lansinoh Disposable Breast Pads ni breast pads za matumizi ya mara moja zinazosaidia kunyonya maziwa yanayovuja, kuweka mama na nguo zake kavu. Zina muundo mwembamba na adhesive strips kwa ajili ya kukaa vizuri kwenye bra. Pakiti ina 60pcs.