Lansinoh starter set

Lansinoh starter set

TSh 100,000.00

Lansinoh Starter Set ni seti yenye chupa mbili za 160ml na 240ml, inayokuja na NaturalWave teats 3 za S, M na F flow, hivyo mama anaweza kuchagua flow inayofaa kulingana na hatua ya mtoto. Chupa zina AVS Anti-Colic System inayosaidia kupunguza mtoto kumeza hewa wakati wa kunywa, na zimetengenezwa bila BPA na BPS. Pia unaweza kutumia chupa hizo kwa kuhifadhi maziwa, hivyo unaweza kupump, kuhifadhi na kumnyweshea mtoto kwa kutumia chupa hiyo hiyo.