Aptamil Advanced 3 ni toddler milk iliyotengenezwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa mwaka 1–3 (miezi 12–36). Ina mchanganyiko maalum wa GOS na FOS prebiotics pamoja na 2’-FL HMO, unaosaidia kuunga mkono afya ya mfumo wa utumbo na kinga ya mtoto. Pia ina milk fat, DHA, pamoja na vitamini na madini muhimu kama calcium na vitamin D kwa ukuaji na maendeleo ya kawaida ya mifupa. Pia haina palm oil.