Aptamil anti-reflux (800gm)

Aptamil anti-reflux (800gm)

TSh 130,000.00

Aptamil Anti-Reflux ni formula maalum kwa ajili ya watoto wachanga wenye umri wa kuzaliwa hadi miezi 12 (0–12 months) wanaosumbuliwa na reflux au kurudisha maziwa mara kwa mara. Imetengenezwa ikiwa na carob bean gum kama thickener, inayosaidia kufanya maziwa kuwa mazito na hivyo kupunguza kurudi kwa maziwa tumboni kwenda mdomoni. Ina pia DHA pamoja na virutubisho muhimu kwa ukuaji na maendeleo ya mtoto.