Aptamil comfort (800gm)

Aptamil comfort (800gm)

TSh 130,000.00

Aptamil Comfort ni formula maalum kwa ajili ya watoto wachanga wenye umri wa kuzaliwa hadi miezi 12 (0–12 months) ambao wanaweza kuwa na matatizo madogo ya tumbo kama colic, constipation au wind. Imetengenezwa kwa kutumia partially hydrolysed whey protein, ambayo ni rahisi kumeng’enywa, pamoja na lactose iliyopunguzwa na virutubisho muhimu ikiwemo DHA kwa ukuaji na maendeleo ya mtoto.