Kendamil Classic Stage 3 ni formula ya hatua ya tatu iliyotengenezwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa mwaka 1–3 (miezi 12–36). Imetengenezwa kwa kutumia whole milk kutoka kwenye maziwa ya ng’ombe kama chanzo cha protini ya maziwa, na ina DHA pamoja na virutubisho muhimu kwa ukuaji na maendeleo ya mtoto katika hatua hii. Pia haina palm oil na fish oil.