Kendamil Classic Stage 1 ni formula ya watoto wachanga iliyotengenezwa kwa ajili ya watoto tangu kuzaliwa hadi miezi 6 (0–6 months). Imetengenezwa kwa kutumia whole milk kutoka kwenye maziwa ya ng’ombe kama chanzo cha protini ya maziwa, na ina DHA pamoja na virutubisho muhimu kwa ukuaji na maendeleo ya mtoto. Pia haina palm oil na fish oil.