Kendamil Goat Stage 3 ni formula ya hatua ya tatu iliyotengenezwa kwa ajili ya watoto wenye umri wa mwaka 1–3 (miezi 12–36). Imetengenezwa kwa kutumia maziwa ya mbuzi kama chanzo cha protini ya maziwa, na ina DHA pamoja na virutubisho muhimu kwa ukuaji na maendeleo ya mtoto katika hatua hii. Pia haina palm oil na fish oil.