Kendamil Goat 1 ni formula ya watoto wachanga iliyotengenezwa kwa ajili ya watoto tangu kuzaliwa (0–6 months). Imetengenezwa kwa kutumia maziwa ya mbuzi kama chanzo cha protini ya maziwa, na ina DHA pamoja na virutubisho muhimu kwa ukuaji wa kawaida wa mtoto. Pia haina palm oil na fish oil.