AVI toilet cleaner
Ni dawa ya kusafisha na kung'arisha Choo,Masinki na Tailizi za aina zote
AVI ni tofauti ukilinganisha na nyingine haipalii,haiwashi,haichimbi wala kupausha tailizi.
MATUMIZI, unanyunyiza na kusafisha muda huo huo bila kusubiri na Matokeo ni muda huo huo baada ya kusafisha
AVI inapatikana supermarket na madukani kote
Kwa wauzaji wa jumla,rejareja na mawakala
WASILIANA NASI:
E-mail: aviproductsenterprise@gmail.com
Piga simu/ WhatsApp
No. 0744 962 333
Instagram: @aviproducts_tz
Face book @ AVI Products Enterprise
SKU: 6203037560002