ALOVERA THE LAST EYES
(MACHO YA MWISHO )
Episode 1.
Ooh mwanangu saiki zima kibatari niusiku sasa uweze kulala.sauti ya bibi akimwambia saiki ..bibi bado najisomea hikaratasi ya mwisho kisha nitazima nakwenda kulala akajibu saiki,usiku ulikuwa umekwisha tanda kijijini kote ,saiki akazima kibatari akapanda kulala na bibi ake kwenye kitanda cha kamba ngumu misili ya mkeka,saiki akaita" bibi" umesha lala ,bibi akamwambia niusiku usiongee sana kwani unataka kuniuliza nini? ,saiki akajibu nataka kukuuliza kuhusu duniani kukoje,bibi akamwambia mbona umeuliza swali kama ilo ,saiki akajibu kwani kunawatu wengine wanaishi kama sisi au duniani tupowenyewe? sisitunaishi katikati ya msitu ! Bibi akamwambia dunia imejawatu wengi wafalme na wafalme malikia kwa malikia nawatu wengi sana .saiki akauliza tena malikia niwakina nani nawao wapowapi ?bibi akamwambia niusiku sasa tulale..saiki akajiuliza majibu yabibi kuhusu dunia akajisemea kimoyoni sikumoja nitakuja kuwaona hao wafalme na malikia nawatu wengine uko duniani.
Niasubuh sasa nisauti ya bibi ikimuamsha saiki ..ooh bibi niache nilale kidogo saiki alijibu kwauchovu ..amka sasa uende malishoni na mbuzi .saiki aliamka nakujianda kwenda malishoni na mbuzi zao .saiki akakitazama kijiji chao akasema ,,ona hikikijiji chamasikini kama sisi tunaishi kwafuraha naamani ndani yamsitu wetu wa rudungunya .baada yakujisemea saiki akakamata fimbo na maji akapotelea njia ya msitu na mbuzi zake.nyuma bibi akamuaga kwa kumtazama akijisemea,, masiki saiki Usitake kuijua dunia hi imebeba mengi ya kushangaza nayakuumiza moyo .
Saiki wakati yupo safari yake akapishana nawatu walio kuwa wameonekana kuwa nakiu sana na njaa ,wakamwambia unaweza tupatia maji na chakula ?saiki akawatazama kisha akawauliza ndio tunaweza chinja mbuzi mmoja tumtumie kamachakula kisha namaji nitawapa ..baada yalisaa limoja walikuwa wamekula nyama yakuchoma yambuzi na kunywa maji wakawa niwatu waloshiba sana..saiki akawauliza mnaitwa nani wakajibu ....(itaendelea )