TANGAZO LA HADITHI MPYA: ALOVERA THE LAST EYES (MACHO YA MWISHO ).
Hadithi ya kusisimua ya "Alovera The Last Eyes" sasa inakujia kupitia Whatsapp (Take App) . Kila siku, kuanzia Jumatatu (26/09/2022) Saa nne kamili usiku (10:00 Jioni) Utapata 'Episode' moja kila siku (kunaweza kuwa na ongezeko la Episode).
Jina la Hadithi: Alovera The Last Eyes
Mwandishi (Author): Alovera Dayod
Mwaka wa Kuchapishwa: 2016
Mawasiliano Whatsapp _0755084307.
👁 UTANGULIZI WA HADITHI....
"Macho ni nuru muhimu katika kujenga matukio kwenye maisha ya watu. Macho huleta mtazamo tofauti katika kutafsiri mambo mbalimbali ya kimaisha. Macho huona maono na kulazimisha moyo na nafsi kuamini hata kama sio kweli, na pia macho huleta upendo na hisia tofauti kati yetu.
Macho huona mbali mpaka mahali ambapo mwili na mikono haviwezi kufika au kushika. 'Alovera The Last Eyes' ni kitabu kinachoelezea macho ya mwisho ya binti mdogo kwajina saiki kutoka kijiji cha rudungunya katikati ya misitu aliye ishi nandoto kubwa yakuja kuwaona malikia nakuwa mtu mwenye nguvu ,katika safari hiyo ndefu iliyomfanya kupoteza kumbukumbu ,kubadilishwa jina ,kuteseka,kuchomwa moto hadi kuwa mtu mwenye maajabu yakuwa na sura nyengine hadi kuja kuwa na jina kubwa ulimwenguni wakati huo upendo na moyo viliposhindwa kufanya kazi kati yake na historia ya maisha aliyotoka.
Usikose kufuatilia simulizi ya hadithi hi kila siku saa nne usiku usipitwe na mwendelezo huu!