WIfi SMART PLUG
SPECIFICATION
Rated Voltage: AC100-240V 50/60H2
Rated Current: [16A [120A
Working Temp: -20°C - 50°C
Working Humidity: ≤ 80% Shell Material: PC+ABS
Wireless Type: WiFi 2.4GHz 802.11b/g/n
🚨SIFA ZA HIZI SMART PLUG🚨
1. Unaweza switch Off / On device yako nyumbani hata ukiwa nnje ya nnchi
2. Unaweza switch off/On kwa voice control yani sauti yako endapo uko karibu nayo na ikalzima
3. Pia unaweza set time ya kuwaka au time ya kuzima /
Au iwake mda flani na izime baada ya mda flani
4. Unaweza itumia kama Guide ya vitu vyako vya umeme kam fridge guide au tv guide kuzuiya over voltage au over current
5. Inauwezo wa kusoma unit ulizo tumia kwenye kifaa husika
TSh 35,000.00
/ 10 QTY
TSh 44,999.00