Saa ya Kijanja ya V8 SmartWatch
Inaingia Laini ya Simu (SIM Card) & Memory Card
Unaweza kupiga na kupokea simu moja kwa moja kupitia saa
Inaunganishwa na simu yoyote (Android & iPhone) kupitia Bluetooth
Ina Kamera ya kupiga picha
Inapima hatua za kutembea na afya ya kulala